Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yeremia 48:5 - Swahili Revised Union Version

5 Kwa maana watu wapandapo huko Luhithi Watapanda wasiache kulia; Nao watu wateremkapo huko Horonaimu Wameisikia huzuni ya kilio cha uharibifu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Walionusurika wanapanda kwenda Luhithi huku wanalia kwa sauti. Wanapoteremka kwenda Horonaimu, wanasikia kilio cha uharibifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Walionusurika wanapanda kwenda Luhithi huku wanalia kwa sauti. Wanapoteremka kwenda Horonaimu, wanasikia kilio cha uharibifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Walionusurika wanapanda kwenda Luhithi huku wanalia kwa sauti. Wanapoteremka kwenda Horonaimu, wanasikia kilio cha uharibifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Wanapanda kwenda njia ya kuelekea Luhithi, wakilia kwa uchungu wanapotembea, kwenye njia inayoshuka kwenda Horonaimu, kilio cha uchungu kwa ajili ya uharibifu kinasikika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Wanapanda kwenda njia ya kuelekea Luhithi, wakilia kwa uchungu wanapotembea, kwenye njia inayoshuka kwenda Horonaimu, kilio cha uchungu kwa ajili ya uharibifu kinasikika.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Kwa maana watu wapandapo huko Luhithi Watapanda wasiache kulia; Nao watu wateremkapo huko Horonaimu Wameisikia huzuni ya kilio cha uharibifu.

Tazama sura Nakili

Yeremia 48:5
3 Marejeleo ya Msalaba  

Moyo wangu unamlilia Moabu; wakuu wake wanakimbilia Soari kama ndama wa miaka mitatu; kwa maana wanapanda mbavu za Luhithi wakilia; maana katika njia iendayo hata Horonaimu wanatoa kilio cha maangamizi.

Sauti ya kilio toka Horonaimu, Ya kutekwa na uharibifu mkuu.

Moabu umeharibika; Wadogo wake wamelia kwa sauti.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo