Yeremia 48:4 - Swahili Revised Union Version4 Moabu umeharibika; Wadogo wake wamelia kwa sauti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Moabu tayari imeangamizwa kilio chake chasikika mpaka Soari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Moabu tayari imeangamizwa kilio chake chasikika mpaka Soari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Moabu tayari imeangamizwa kilio chake chasikika mpaka Soari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Moabu utavunjwa, wadogo wake watapiga kelele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Moabu utavunjwa, wadogo wake watapiga kelele. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Moabu umeharibika; Wadogo wake wamelia kwa sauti. Tazama sura |