Yakobo 5:9 - Swahili Revised Union Version9 Ndugu, msinung'unikiane, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Ndugu zangu, msinung'unikiane nyinyi kwa nyinyi msije mkahukumiwa na Mungu. Hakimu yu karibu, tayari kuingia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ndugu zangu, msinung'unikiane nyinyi kwa nyinyi msije mkahukumiwa na Mungu. Hakimu yu karibu, tayari kuingia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ndugu zangu, msinung'unikiane nyinyi kwa nyinyi msije mkahukumiwa na Mungu. Hakimu yu karibu, tayari kuingia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ndugu zangu, msinung’unikiane, msije mkahukumiwa. Hakimu amesimama mlangoni! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ndugu zangu, msinung’unikiane msije mkahukumiwa. Hakimu amesimama mlangoni! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Ndugu, msinung'unikiane, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango. Tazama sura |