Yakobo 5:19 - Swahili Revised Union Version19 Ndugu zangu, mtu yeyote miongoni mwenu akipotoka mbali na kweli, na kurejeshwa na mtu mwingine; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Ndugu zangu, mmoja wenu akipotoka kuhusu ukweli, na mwingine akamrudisha, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Ndugu zangu, mmoja wenu akipotoka kuhusu ukweli, na mwingine akamrudisha, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Ndugu zangu, mmoja wenu akipotoka kuhusu ukweli, na mwingine akamrudisha, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ndugu zangu, yeyote miongoni mwenu akipotoka na kuicha kweli, naye akarejeshwa na mtu mwingine, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Ndugu zangu, yeyote miongoni mwenu akipotoka na kuicha kweli, naye akarejezwa na mtu mwingine, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Ndugu zangu, mtu yeyote miongoni mwenu akipotoka mbali na kweli, na kurejeshwa na mtu mwingine; Tazama sura |