Yakobo 5:18 - Swahili Revised Union Version18 Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kisha akaomba tena, mvua ikanyesha kutoka angani na nchi ikatoa mazao yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kisha akaomba tena, mvua ikanyesha kutoka angani na nchi ikatoa mazao yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kisha akaomba tena, mvua ikanyesha kutoka angani na nchi ikatoa mazao yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kisha akaomba tena, nazo mbingu zikatoa mvua, nayo ardhi ikatoa mazao yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kisha akaomba tena, nazo mbingu zikatoa mvua nayo ardhi ikatoa mazao yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake. Tazama sura |