Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 7:4 - Swahili Revised Union Version

4 na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini, pamoja na figo zake mbili, hayo yote atayaondoa;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 pamoja na zile figo mbili pamoja na mafuta yake na ile sehemu bora ya ini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 pamoja na zile figo mbili pamoja na mafuta yake na ile sehemu bora ya ini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 pamoja na zile figo mbili pamoja na mafuta yake na ile sehemu bora ya ini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 figo zote mbili pamoja na mafuta yanayozifunika karibu na kiuno, na kipande kirefu cha ini, ambayo yataondolewa pamoja na hizo figo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 figo zote mbili pamoja na mafuta yanayozizunguka yaliyo karibu na kiuno na yale yanayofunika ini, ambayo yataondolewa pamoja na hizo figo.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini, pamoja na figo zake mbili, hayo yote atayaondoa;

Tazama sura Nakili

Walawi 7:4
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha twaa mafuta yote yafunikayo matumbo, na kitambi kilicho katika ini, na figo mbili, na mafuta yaliyo juu yake, uyateketeze yote juu ya madhabahu.

na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini pamoja na hizo figo mbili; hayo yote atayaondoa.

na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno, na hicho kitambi kilicho katika ini, pamoja na hizo figo; hayo yote atayaondoa.

na kuhani atayateketeza juu ya madhabahu, kuwa dhabihu kwa BWANA kwa njia ya moto; ni sadaka ya hatia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo