Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 7:3 - Swahili Revised Union Version

3 Katika sadaka hiyo atasongeza mafuta yake yote; yaani, mkia wake wenye mafuta, na mafuta yafunikayo matumbo,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Mafuta yake yote: Mafuta ya mkia na yale yanayofunika matumbo yatatolewa na kuteketezwa

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Mafuta yake yote: Mafuta ya mkia na yale yanayofunika matumbo yatatolewa na kuteketezwa

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Mafuta yake yote: mafuta ya mkia na yale yanayofunika matumbo yatatolewa na kuteketezwa

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Mafuta yake yote yatatolewa sadaka: mafuta ya mkia, na mafuta yale yanayofunika sehemu za ndani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Mafuta yake yote yatatolewa sadaka: mafuta ya mkia na mafuta yale yanayofunika sehemu za ndani,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Katika sadaka hiyo atasongeza mafuta yake yote; yaani, mkia wake wenye mafuta, na mafuta yafunikayo matumbo,

Tazama sura Nakili




Walawi 7:3
9 Marejeleo ya Msalaba  

Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.


Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni; Nawe utanifundisha hekima kwa siri,


Msiile mbichi, wala ya kutokoswa majini, bali imeokwa motoni; kichwa chake pamoja na miguu yake, na nyama zake za ndani.


Kisha twaa mafuta yote yafunikayo matumbo, na kitambi kilicho katika ini, na figo mbili, na mafuta yaliyo juu yake, uyateketeze yote juu ya madhabahu.


Kati ya wana wa Haruni, huyo atakayeisongeza damu ya sadaka za amani, na mafuta yake, yeye atapata mguu wa nyuma wa upande wa kulia kuwa sehemu yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo