Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 18:15 - Swahili Revised Union Version

15 Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Kamwe usilale na mke wa mwanao; huyo ni mkewe mwanao. Kamwe usilale naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Kamwe usilale na mke wa mwanao; huyo ni mkewe mwanao. Kamwe usilale naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Kamwe usilale na mke wa mwanao; huyo ni mkewe mwanao. Kamwe usilale naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 “ ‘Usikutane kimwili na mkwe wako, yeye ni mke wa mwanao; usiwe na mahusiano kama hayo naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 “ ‘Usikutane kimwili na mkwe wako, yeye ni mke wa mwanao; usiwe na mahusiano kama hayo naye.

Tazama sura Nakili

Walawi 18:15
4 Marejeleo ya Msalaba  

Yuda akavikiri, akasema, Yeye ni mwenye haki kuliko mimi, kwa kuwa sikumpa Shela, mwanangu. Wala hakumjua tena baada ya hayo.

Na mtu mmoja amefanya chukizo pamoja na mke wa jirani yake; na mtu mwingine amemharibu mke wa mwanawe kwa uasherati; na mtu mwingine ndani yako amemfanyia nguvu dada yake, binti ya babaye.

Na mwanamume akilala na mkwewe mwanamke, wote wawili hakika watauawa; wamefanya yaliyo upotovu; damu yao itakuwa juu yao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo