Walawi 18:14 - Swahili Revised Union Version14 Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kamwe usilale na mke wa baba yako mkubwa au mdogo; huyo ni mama yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kamwe usilale na mke wa baba yako mkubwa au mdogo; huyo ni mama yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kamwe usilale na mke wa baba yako mkubwa au mdogo; huyo ni mama yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “ ‘Usimvunjie heshima ndugu wa baba yako, kwa kukutana kimwili na mke wake; yeye ni shangazi yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “ ‘Usimvunjie heshima ndugu wa baba yako, kwa kukutana kimwili na mke wake; yeye ni shangazi yako. Tazama sura |