Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 16:8 - Swahili Revised Union Version

8 Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya BWANA; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Atawapigia kura hao beberu wawili, kura moja kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na nyingine kwa ajili ya Azazeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Atawapigia kura hao beberu wawili, kura moja kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na nyingine kwa ajili ya Azazeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Atawapigia kura hao beberu wawili, kura moja kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na nyingine kwa ajili ya Azazeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Haruni atapiga kura kwa ajili ya hao mbuzi wawili, mmoja kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na mwingine kwa ajili ya kubebeshwa dhambi za Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Haruni atapiga kura kwa ajili ya hao mbuzi wawili, mmoja kwa ajili ya bwana na mwingine kwa ajili ya kubebeshwa dhambi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya BWANA; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli.

Tazama sura Nakili




Walawi 16:8
12 Marejeleo ya Msalaba  

Kura hutupwa katika mikunjo ya nguo; Lakini hukumu zake zote ni za BWANA.


Hiyo ndiyo nchi mtakayoyagawanyia makabila ya Israeli, kuwa urithi wao, na hayo ndiyo mafungu yao, asema Bwana MUNGU.


Bali yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya Azazeli atawekwa hai mbele za BWANA ili kumfanyia upatanisho, ili kumpeleka jangwani kwa ajili ya Azazeli.


Na mtu yule amwachaye mbuzi wa Azazeli aende zake, ataosha nguo zake, na kuosha mwili wake kwa maji, na baadaye ataingia katika kambi.


Kisha atawatwaa wale mbuzi wawili na kuwaweka mbele za BWANA mlangoni pa hema ya kukutania.


Na Haruni atamleta yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya BWANA, na kumtoa awe sadaka ya dhambi.


Wakasemezana kila mtu na mwenzake, Haya, na tupige kura, tupate kujua mabaya haya yametupata kwa sababu ya nani. Basi wakapiga kura, nayo kura ikamwangukia Yona.


Lakini nchi itagawanywa kwa kura; kwa majina ya makabila ya baba zao, ndivyo watakavyopata urithi.


Nanyi mtairithi nchi kwa kufanya kura, kama jamaa zenu zilivyo; hao walio wengi mtawapa urithi zaidi, na hao waliopunguka utawapa kama kupunguka kwao; mahali popote kura itakapomwangukia mtu yeyote, mahali hapo ni pake; mtarithi kama makabila ya baba zenu yalivyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo