Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 16:7 - Swahili Revised Union Version

7 Kisha atawatwaa wale mbuzi wawili na kuwaweka mbele za BWANA mlangoni pa hema ya kukutania.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Kisha, wale beberu wawili atawaweka kwenye mlango wa hema la mkutano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Kisha, wale beberu wawili atawaweka kwenye mlango wa hema la mkutano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Kisha, wale beberu wawili atawaweka kwenye mlango wa hema la mkutano.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kisha atawachukua wale beberu wawili na kuwaleta mbele za Mwenyezi Mungu kwenye ingilio la Hema la Kukutania.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kisha atawachukua wale mbuzi dume wawili na kuwaleta mbele za bwana kwenye ingilio la Hema la Kukutania.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Kisha atawatwaa wale mbuzi wawili na kuwaweka mbele za BWANA mlangoni pa hema ya kukutania.

Tazama sura Nakili




Walawi 16:7
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa matoleo yake ni sadaka ya kuteketezwa ya ng'ombe, atatoa ng'ombe dume mkamilifu; ataleta mlangoni pa hema ya kukutania, ili akubaliwe mbele ya BWANA.


Na Haruni atamtoa yule ng'ombe wa sadaka ya dhambi, aliye kwa ajili ya nafsi yake, na kufanya upatanisho kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe, na kwa ajili ya nyumba yake.


Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya BWANA; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli.


Naye atamleta huyo ng'ombe na kumweka mlangoni pa hiyo hema ya kukutania, mbele za BWANA; naye ataweka mkono wake kichwani mwake ng'ombe, na kumchinja huyo ng'ombe mbele za BWANA.


Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.


Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo