Walawi 16:9 - Swahili Revised Union Version9 Na Haruni atamleta yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya BWANA, na kumtoa awe sadaka ya dhambi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Atamleta yule beberu ambaye kura ilimtaka kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na kumtolea sadaka ya kuondoa dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Atamleta yule beberu ambaye kura ilimtaka kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na kumtolea sadaka ya kuondoa dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Atamleta yule beberu ambaye kura ilimtaka kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na kumtolea sadaka ya kuondoa dhambi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Haruni atamleta yule mbuzi ambaye kura ya Mwenyezi Mungu imemwangukia na kumtoa dhabihu kwa ajili ya sadaka ya dhambi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Haruni atamleta yule mbuzi ambaye kura ya bwana imemwangukia na kumtoa dhabihu kwa ajili ya sadaka ya dhambi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Na Haruni atamleta yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya BWANA, na kumtoa awe sadaka ya dhambi. Tazama sura |