Walawi 15:3 - Swahili Revised Union Version3 Na unajisi wake katika kisonono chake ni huu; kama mwili wake unachuruzika kisonono chake, au kama kisonono chake kimezuiwa mwilini mwake, ni unajisi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Na ufuatao ni mwongozo kuhusu najisi hiyo: Muda wote anapotokwa na usaha au usaha unapokuwa umezuiwa ndani yake, mtu huyo ni najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Na ufuatao ni mwongozo kuhusu najisi hiyo: Muda wote anapotokwa na usaha au usaha unapokuwa umezuiwa ndani yake, mtu huyo ni najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Na ufuatao ni mwongozo kuhusu najisi hiyo: muda wote anapotokwa na usaha au usaha unapokuwa umezuiwa ndani yake, mtu huyo ni najisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Iwe unaendelea kutiririka kutoka mwilini mwake au umeziba, utamfanya najisi. Hivi ndivyo usaha wake utakavyomletea unajisi: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Iwe unaendelea kutiririka kutoka mwilini mwake au umeziba, utamfanya kuwa najisi. Hivi ndivyo usaha wake utakavyomletea unajisi: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Na unajisi wake katika kisonono chake ni huu; kama mwili wake unachuruzika kisonono chake, au kama kisonono chake kimezuiwa mwilini mwake, ni unajisi wake. Tazama sura |