Walawi 15:4 - Swahili Revised Union Version4 Kitanda chochote akilaliacho mwenye kisonono kitakuwa najisi; na kitu chochote atakachokalia kitakuwa najisi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kitanda chochote atakacholalia au atakachokalia, kitakuwa najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kitanda chochote atakacholalia au atakachokalia, kitakuwa najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kitanda chochote atakacholalia au atakachokalia, kitakuwa najisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “ ‘Kitanda chochote atakacholalia mtu mwenye kutokwa na usaha kitakuwa najisi, na chochote atakachokalia kitakuwa najisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “ ‘Kitanda chochote atakacholalia mtu mwenye kutokwa na usaha kitakuwa najisi, na chochote atakachokalia kitakuwa najisi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Kitanda chochote akilaliacho mwenye kisonono kitakuwa najisi; na kitu chochote atakachokalia kitakuwa najisi. Tazama sura |