Walawi 13:48 - Swahili Revised Union Version48 likiwa limefumwa, au kusokotwa; likiwa ni la kitani au la sufu; liwe katika ngozi, au kitu chochote kilichofanywa cha ngozi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 vazi hilo liwe limefumwa au limesokotwa kwa kitani au sufu au ni vazi la ngozi ya aina yoyote ile, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 vazi hilo liwe limefumwa au limesokotwa kwa kitani au sufu au ni vazi la ngozi ya aina yoyote ile, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 vazi hilo liwe limefumwa au limesokotwa kwa kitani au sufu au ni vazi la ngozi ya aina yoyote ile, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 vazi lolote lililofumwa au kusokotwa la kitani au sufu, ngozi yoyote au chochote kilichotengenezwa kwa ngozi: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 lolote lililofumwa au kusokotwa likiwa la kitani au la sufu, ngozi yoyote au chochote kilichotengenezwa kwa ngozi, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI48 likiwa limefumwa, au kusokotwa; likiwa ni la kitani au la sufu; liwe katika ngozi, au kitu chochote kilichofanywa cha ngozi; Tazama sura |