Walawi 13:23 - Swahili Revised Union Version23 Lakini ikiwa kipaku hicho king'aacho kimekaa pale pale, wala hakienei, ni kovu ya jipu; na kuhani atasema kwamba yu safi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Lakini, kama ile sehemu haijaenea, basi, lile ni kovu la jipu tu. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa safi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Lakini, kama ile sehemu haijaenea, basi, lile ni kovu la jipu tu. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa safi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Lakini, kama ile sehemu haijaenea, basi, lile ni kovu la jipu tu. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa safi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Lakini ikiwa ile alama haijabadilika wala kuenea, ni kovu tu kutokana na jipu, kuhani atamtangaza kuwa safi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Lakini ikiwa ile alama haijabadilika wala kuenea, ni kovu tu kutokana na jipu, kuhani atamtangaza kuwa safi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Lakini ikiwa kipaku hicho king'aacho kimekaa pale pale, wala hakienei, ni kovu la jipu; na kuhani atasema kwamba yu safi. Tazama sura |