Walawi 13:22 - Swahili Revised Union Version22 na kwamba pameenea katika ngozi, ndipo kuhani atasema kwamba ni najisi; hili ni pigo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Kama ugonjwa huo utaenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; sehemu hiyo ina ugonjwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Kama ugonjwa huo utaenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; sehemu hiyo ina ugonjwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Kama ugonjwa huo utaenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; sehemu hiyo ina ugonjwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Kama unaenea kwenye ngozi, kuhani atamtangaza kuwa najisi; ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Kama unaenea kwenye ngozi, kuhani atamtangaza kuwa najisi; ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza. Tazama sura |