Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 13:10 - Swahili Revised Union Version

10 naye kuhani ataangalia, ikiwa pana uvimbe mweupe katika ngozi yake, na mnywele zimegeuzwa kuwa nyeupe, tena ikiwa panafanyika kidonda katika ule uvimbe,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Kuhani atamwangalia na kama kuna uvimbe mweupe ambao umezifanya nywele zake ziwe nyeupe na uvimbe huo umegeuka kuwa kidonda kibichi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Kuhani atamwangalia na kama kuna uvimbe mweupe ambao umezifanya nywele zake ziwe nyeupe na uvimbe huo umegeuka kuwa kidonda kibichi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Kuhani atamwangalia na kama kuna uvimbe mweupe ambao umezifanya nywele zake ziwe nyeupe na uvimbe huo umegeuka kuwa kidonda kibichi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Kuhani atamchunguza na kama kuna uvimbe mweupe katika ngozi ambao umefanya nywele kuwa nyeupe, na kama kuna nyama mbichi ndani ya uvimbe,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Kuhani atamchunguza na kama kuna uvimbe mweupe juu ya ngozi ambao umefanya nywele kuwa nyeupe, na kama kuna nyama mbichi ndani ya uvimbe,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 naye kuhani ataangalia, ikiwa pana uvimbe mweupe katika ngozi yake, na nywele zimegeuka kuwa nyeupe, tena ikiwa panafanyika kidonda katika ule uvimbe,

Tazama sura Nakili




Walawi 13:10
12 Marejeleo ya Msalaba  

Basi ukoma wa Naamani utakushika wewe, na wazao wako hata milele. Naye akatoka usoni pake mwenye ukoma kama theluji.


Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama.


ni ukoma usiopona ulio katika ngozi ya mwili wake, na kuhani atasema kuwa ni najisi; hatamweka mahali, kwa kuwa yeye ana unajisi.


Au mwili wa mtu ukiwa una mahali palipoungua katika ngozi yake, kisha pakawa kidonda, kikawa kipaku chekundu kidogo, au cheupe;


Mtu atakapopatwa na ugonjwa wa ukoma, ndipo ataletwa kwa kuhani;


Wao humchukia yeye akemeaye langoni, nao humzira anenaye maneno ya adili.


Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi; bali hunichukia mimi, kwa sababu mimi naushuhudia ya kuwa kazi zake ni mbovu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo