Waefeso 2:21 - Swahili Revised Union Version21 Katika yeye jengo lote linaungamanishwa vema na kukua hata liwe hekalu takatifu katika Bwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Yeye ndiye mwenye kuliunganisha jengo lote na kulikuza hata liwe hekalu takatifu kwa ajili ya Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Yeye ndiye mwenye kuliunganisha jengo lote na kulikuza hata liwe hekalu takatifu kwa ajili ya Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Yeye ndiye mwenye kuliunganisha jengo lote na kulikuza hata liwe hekalu takatifu kwa ajili ya Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Ndani yake jengo lote limeshikamanishwa pamoja na kuinuliwa ili kuwa Hekalu takatifu katika Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Ndani yake jengo lote limeshikamanishwa pamoja na kusimamishwa ili kuwa Hekalu takatifu katika Bwana Mwenyezi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Katika yeye jengo lote linaungamanishwa vema na kukua hata liwe hekalu takatifu katika Bwana. Tazama sura |