Waefeso 2:20 - Swahili Revised Union Version20 Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Al-Masihi Isa ndiye jiwe kuu la pembeni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Al-Masihi Isa mwenyewe ndiye jiwe kuu la pembeni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni. Tazama sura |