Waefeso 2:22 - Swahili Revised Union Version22 Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja kuwa maskani ya Mungu katika Roho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Katika kuungana naye, nyinyi pia mnajengwa pamoja na wote wengine, muwe makao ya Mungu kwa njia ya Roho wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Katika kuungana naye, nyinyi pia mnajengwa pamoja na wote wengine, muwe makao ya Mungu kwa njia ya Roho wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Katika kuungana naye, nyinyi pia mnajengwa pamoja na wote wengine, muwe makao ya Mungu kwa njia ya Roho wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja ili mpate kuwa makao ambayo Mungu anaishi ndani yake kupitia kwa Roho wake Mtakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja ili mpate kuwa makao ambayo Mwenyezi Mungu anaishi ndani yake kwa njia ya Roho wake Mtakatifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja kuwa maskani ya Mungu katika Roho. Tazama sura |