Waebrania 3:9 - Swahili Revised Union Version9 Hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, Wakaona matendo yangu miaka arubaini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, ingawa walishuhudia matendo yangu kwa miaka arubaini! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, ingawa walishuhudia matendo yangu kwa miaka arubaini! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, ingawa walishuhudia matendo yangu kwa miaka arubaini! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima, ingawa kwa miaka arobaini walikuwa wameyaona matendo yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima ingawa kwa miaka arobaini walikuwa wameyaona matendo yangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, Wakaona matendo yangu miaka arobaini. Tazama sura |
Kwa kuwa wana wa Israeli walitembea muda wa miaka arubaini barani, hadi hilo taifa zima, yaani, watu wanaume wapiganaji vita, waliotoka Misri, walipokuwa wameangamia; kwa sababu hawakuisikiza sauti ya BWANA; nao ndio BWANA aliowaapia ya kwamba hatawaacha waione hiyo nchi, ambayo BWANA aliwaapia baba zao kwamba atatupa sisi; nchi itiririkayo maziwa na asali.