Waebrania 3:8 - Swahili Revised Union Version8 Msifanye mioyo yenu kuwa migumu, Kama wakati wa kuasi, Siku ya kujaribiwa katika jangwa, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi kama wakati ule wa majaribio kule jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi kama wakati ule wa majaribio kule jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi kama wakati ule wa majaribio kule jangwani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 msiifanye mioyo yenu migumu, kama mlivyofanya katika uasi, wakati ule wa kujaribiwa jangwani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 msiifanye mioyo yenu migumu, kama mlivyofanya katika uasi, wakati ule wa kujaribiwa jangwani, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Msifanye mioyo yenu kuwa migumu, Kama wakati wa kuasi, Siku ya kujaribiwa katika jangwa, Tazama sura |