Waebrania 2:7 - Swahili Revised Union Version7 Umemfanya mdogo kwa muda kuliko malaika, Umemvika taji la utukufu na heshima, Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Ulimfanya tu kidogo kuwa chini ya malaika; umemvika taji ya utukufu na heshima, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Ulimfanya tu kidogo kuwa chini ya malaika; umemvika taji ya utukufu na heshima, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Ulimfanya tu kidogo kuwa chini ya malaika; umemvika taji ya utukufu na heshima, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Umemfanya chini kidogo kuliko malaika; ukamvika taji la utukufu na heshima, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Umemfanya chini kidogo kuliko malaika; ukamvika taji ya utukufu na heshima, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Umemfanya mdogo punde kuliko malaika, Umemvika taji la utukufu na heshima, Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Tazama sura |