Nehemia 9:34 - Swahili Revised Union Version34 na wafalme wetu, na wakuu wetu, na makuhani wetu, na baba zetu, hawakuishika sheria yako, wala hawakuzisikiliza amri zako na shuhuda zako, ulizowashuhudia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Wafalme wetu, wakuu wetu, makuhani wetu na babu zetu hawajaishika sheria yako wala kujali amri yako na maonyo yako uliyowapa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Wafalme wetu, wakuu wetu, makuhani wetu na babu zetu hawajaishika sheria yako wala kujali amri yako na maonyo yako uliyowapa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Wafalme wetu, wakuu wetu, makuhani wetu na babu zetu hawajaishika sheria yako wala kujali amri yako na maonyo yako uliyowapa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Wafalme wetu, viongozi wetu, makuhani wetu na baba zetu hawakufuata sheria yako. Hawakuzingatia amri zako wala maonyo uliyowapa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Wafalme wetu, viongozi wetu, makuhani wetu na baba zetu hawakufuata sheria yako. Hawakuzingatia amri zako wala maonyo uliyowapa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 na wafalme wetu, na wakuu wetu, na makuhani wetu, na baba zetu, hawakuishika sheria yako, wala hawakuzisikiliza amri zako na shuhuda zako, ulizowashuhudia. Tazama sura |
Lakini bila shaka tutalitimiza kila neno lililotoka katika vinywa vyetu, kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, kama tulivyotenda sisi, na baba zetu, na wafalme wetu, na wakuu wetu, katika miji ya Yuda, na katika njia kuu za Yerusalemu; maana wakati huo tulikuwa na chakula tele, na kufanikiwa, wala hatukuona mabaya.