Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Nehemia 3:28 - Swahili Revised Union Version

28 Juu ya lango la farasi wakajenga makuhani, kila mtu kuielekea nyumba yake. Baada yao akajenga Sadoki, mwana wa Imeri, kuielekea nyumba yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Juu ya Lango la Farasi palijawa na makuhani, kila mmoja alijenga sehemu inayokabiliana na nyumba yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Juu ya Lango la Farasi palijawa na makuhani, kila mmoja alijenga sehemu inayokabiliana na nyumba yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Juu ya Lango la Farasi palijawa na makuhani, kila mmoja alijenga sehemu inayokabiliana na nyumba yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Makuhani walifanya ukarabati juu ya Lango la Farasi, kila mmoja mbele ya nyumba yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Makuhani walifanya ukarabati juu ya Lango la Farasi, kila mmoja mbele ya nyumba yake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

28 Juu ya lango la farasi wakajenga makuhani, kila mtu kuielekea nyumba yake. Baada yao akajenga Sadoki, mwana wa Imeri, kuielekea nyumba yake.

Tazama sura Nakili

Nehemia 3:28
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wakampisha njia; akaenda kwa njia ya kuingia kwa farasi nyumbani mwa mfalme; akauawa huko.

Basi wakampisha njia; akaenda kwa kuingia pa mlango wa farasi nyumbani mwa mfalme; nao wakamwua huko.

Na baada yao akajenga Yedaya, mwana wa Harumafu, kuielekea nyumba yake. Na baada yake akajenga Hatushi, mwana wa Hashabneya.

Baada yao wakajenga Benyamini na Hashubu, kuielekea nyumba yao. Baada yao akajenga Azaria, mwana wa Maaseya, mwana wa Anania, kando ya nyumba yake.

Na baada yake akajenga Shemaya, mwana wa Shekania, mlinzi wa lango la mashariki.

Na bonde lote la mizoga, na majivu, na mashamba yote mpaka kijito Kidroni, mpaka pembe ya lango la farasi, upande wa mashariki, patakuwa patakatifu kwa BWANA; hapatang'olewa, wala hapatabomolewa, hata milele.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo