Nehemia 3:27 - Swahili Revised Union Version27 Baada yake wakajenga Watekoi sehemu nyingine, kuuelekea mnara mkubwa utokezao, na mpaka ukuta wa Ofeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Sehemu nyingine inayofuata, ikitokea kwenye mnara mrefu hadi ukuta wa Ofeli ilijengwa upya na wakazi wa mji wa Tekoa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Sehemu nyingine inayofuata, ikitokea kwenye mnara mrefu hadi ukuta wa Ofeli ilijengwa upya na wakazi wa mji wa Tekoa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Sehemu nyingine inayofuata, ikitokea kwenye mnara mrefu hadi ukuta wa Ofeli ilijengwa upya na wakazi wa mji wa Tekoa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Baada yao, watu wa Tekoa walikarabati sehemu nyingine, kuanzia mnara mkubwa unaochomoza hadi ukuta wa Ofeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Baada yao, watu wa Tekoa walikarabati sehemu nyingine, kuanzia mnara mkubwa utokezao hadi ukuta wa Ofeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Baada yake wakajenga Watekoi sehemu nyingine, kuuelekea mnara mkubwa utokezao, na mpaka ukuta wa Ofeli. Tazama sura |