Nehemia 13:29 - Swahili Revised Union Version29 Uwakumbuke, Ee Mungu wangu, jinsi walivyounajisi ukuhani, na agano la ukuhani na la Walawi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Ee Mungu, kumbuka jinsi watu walivyochafua ukuhani na agano la kikuhani na la Walawi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Ee Mungu, kumbuka jinsi watu walivyochafua ukuhani na agano la kikuhani na la Walawi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Ee Mungu, kumbuka jinsi watu walivyochafua ukuhani na agano la kikuhani na la Walawi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Ee Mungu wangu, uwakumbuke, kwa sababu wamenajisi ukuhani, na agano la kikuhani na la Walawi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Ee Mungu wangu, uwakumbuke, kwa sababu wamenajisi ukuhani, na agano la kikuhani na la Walawi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Uwakumbuke, Ee Mungu wangu, jinsi walivyounajisi ukuhani, na agano la ukuhani na la Walawi. Tazama sura |