Nehemia 11:20 - Swahili Revised Union Version20 Na Israeli waliosalia, katika hao makuhani, na Walawi, walikuwamo kote mijini mwa Yuda, kila mtu katika milki yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Watu wengine wa Israeli, makuhani na Walawi walikaa katika miji ya Yuda, kila mmoja katika urithi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Watu wengine wa Israeli, makuhani na Walawi walikaa katika miji ya Yuda, kila mmoja katika urithi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Watu wengine wa Israeli, makuhani na Walawi walikaa katika miji ya Yuda, kila mmoja katika urithi wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Waisraeli waliosalia, pamoja na makuhani na Walawi, walikuwa katika miji yote ya Yuda, kila mmoja katika urithi wa baba yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Waisraeli waliosalia, pamoja na makuhani na Walawi, walikuwa katika miji yote ya Yuda, kila mmoja katika urithi wa baba yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Na Israeli waliosalia, katika hao makuhani, na Walawi, walikuwamo kote mijini mwa Yuda, kila mtu katika milki yake. Tazama sura |