Nehemia 11:21 - Swahili Revised Union Version21 Lakini Wanethini walikuwa wakikaa Ofeli; na juu ya Wanethini walikuwa Siha na Gishpa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Lakini watumishi wa hekalu walikaa mjini Yerusalemu katika eneo la Ofeli wakiwa chini ya usimamizi wa Ziha na Gishpa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Lakini watumishi wa hekalu walikaa mjini Yerusalemu katika eneo la Ofeli wakiwa chini ya usimamizi wa Ziha na Gishpa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Lakini watumishi wa hekalu walikaa mjini Yerusalemu katika eneo la Ofeli wakiwa chini ya usimamizi wa Ziha na Gishpa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Watumishi wa Hekalu waliishi katika kilima cha Ofeli. Siha na Gishpa walikuwa wasimamizi wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Watumishi wa Hekalu waliishi katika kilima cha Ofeli. Siha na Gishpa walikuwa wasimamizi wao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Lakini Wanethini walikuwa wakikaa Ofeli; na juu ya Wanethini walikuwa Siha na Gishpa. Tazama sura |