Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Nehemia 11:19 - Swahili Revised Union Version

19 Pamoja na hao, mabawabu; Akubu, Talmoni, na ndugu zao waliolinda malangoni, walikuwa watu mia moja sabini na wawili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Wangoja malango waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Akubu na Talmoni pamoja na ndugu zao waliokuwa wakilinda malango, walikuwa 172.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Wangoja malango waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Akubu na Talmoni pamoja na ndugu zao waliokuwa wakilinda malango, walikuwa 172.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Wangoja malango waliokaa mjini Yerusalemu walikuwa: Akubu na Talmoni pamoja na ndugu zao waliokuwa wakilinda malango, walikuwa 172.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Mabawabu: Akubu, Talmoni na wenzao, waliolinda malango: wanaume mia moja sabini na wawili (172).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Mabawabu: Akubu, Talmoni na wenzao, waliolinda malango: watu 172.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Pamoja na hao, mabawabu; Akubu, Talmoni, na ndugu zao waliolinda malangoni, walikuwa watu mia moja sabini na wawili.

Tazama sura Nakili

Nehemia 11:19
7 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wakaenda, wakawaita mabawabu wa mji; wakawaambia, Tulifika kituo cha Washami, na tazama, hapana mtu yeyote huko, wala sauti ya mtu, ila farasi wamefungwa, na punda wamefungwa, na hema zao kama walivyoziacha.

Walawi wote waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu mia mbili themanini na wanne.

Na Israeli waliosalia, katika hao makuhani, na Walawi, walikuwamo kote mijini mwa Yuda, kila mtu katika milki yake.

Matania, Bakbukia, Obadia, Meshulamu, Talmoni, na Akubu, walikuwa mabawabu, wa kulinda nyumba za hazina katika malango.

Mabawabu; Wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, mia moja thelathini na wanane.

Hakika siku moja katika nyua zako Ni bora kuliko siku elfu kwingineko; Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu wangu, Kuliko kuishi katika hema za uovu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo