Nahumu 3:12 - Swahili Revised Union Version12 Ngome zako zote zitakuwa kama mitini yenye tini zilizoiva kwanza; ikitikisika zaanguka katika kinywa chake alaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Ngome zako zote ni za tini za mwanzo; zikitikiswa zinamwangukia mlaji kinywani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Ngome zako zote ni za tini za mwanzo; zikitikiswa zinamwangukia mlaji kinywani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Ngome zako zote ni za tini za mwanzo; zikitikiswa zinamwangukia mlaji kinywani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Ngome zako zote ni kama mitini yenye matunda yake ya kwanza yaliyoiva; wakati inapotikiswa, tini huanguka kwenye kinywa chake alaye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Ngome zako zote ni kama mitini yenye matunda yake ya kwanza yaliyoiva; wakati inapotikiswa, tini huanguka kwenye kinywa chake alaye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Ngome zako zote zitakuwa kama mitini yenye tini zilizoiva kwanza; ikitikisika zaanguka katika kinywa chake alaye. Tazama sura |