Nahumu 2:9 - Swahili Revised Union Version9 Chukueni nyara za fedha; Chukueni nyara za dhahabu; Kwa maana ni akiba isiyoisha, Fahari ya vyombo vipendezavyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 “Chukueni nyara za fedha, chukueni nyara za dhahabu! Hazina yake haina mwisho! Kuna wingi wa kila kitu cha thamani!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 “Chukueni nyara za fedha, chukueni nyara za dhahabu! Hazina yake haina mwisho! Kuna wingi wa kila kitu cha thamani!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 “Chukueni nyara za fedha, chukueni nyara za dhahabu! Hazina yake haina mwisho! Kuna wingi wa kila kitu cha thamani!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Chukueni nyara za fedha! Chukueni nyara za dhahabu! Wingi wake hauna mwisho, utajiri kutoka hazina zake zote! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Chukueni nyara za fedha! Chukueni nyara za dhahabu! Wingi wake hauna mwisho, utajiri kutoka hazina zake zote! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Chukueni nyara za fedha; Chukueni nyara za dhahabu; Kwa maana ni akiba isiyoisha, Fahari ya vyombo vipendezavyo. Tazama sura |