Nahumu 2:8 - Swahili Revised Union Version8 Lakini Ninawi tokea zamani amekuwa kama ziwa la maji; ila hata sasa wanakimbia; Simameni! Simameni! Lakini hapana hata mmoja atazamaye nyuma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Ninewi ni kama bwawa lililobomoka, watu wake wanaukimbia ovyo. “Simameni! Simameni!” Sauti inaita, lakini hakuna anayerudi nyuma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Ninewi ni kama bwawa lililobomoka, watu wake wanaukimbia ovyo. “Simameni! Simameni!” Sauti inaita, lakini hakuna anayerudi nyuma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Ninewi ni kama bwawa lililobomoka, watu wake wanaukimbia ovyo. “Simameni! Simameni!” sauti inaita, lakini hakuna anayerudi nyuma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ninawi ni kama dimbwi, nayo maji yake yanakauka. Wanalia, “Simama! Simama!” Lakini hakuna anayegeuka nyuma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ninawi ni kama dimbwi, nayo maji yake yanakauka. Wanalia, “Simama! Simama!” Lakini hakuna anayegeuka nyuma. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Lakini Ninawi tokea zamani amekuwa kama ziwa la maji; ila hata sasa wanakimbia; Simameni! Simameni! Lakini hapana hata mmoja atazamaye nyuma. Tazama sura |