Nahumu 1:4 - Swahili Revised Union Version4 Yeye huikemea bahari na kuikausha, pia huikausha mito yote; Bashani hulegea, na Karmeli; nalo ua la Lebanoni hulegea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Huikaripia bahari na kuikausha, yeye huikausha mito yote. Mbuga za Bashani na mlima Karmeli hunyauka, maua ya Lebanoni hudhoofika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Huikaripia bahari na kuikausha, yeye huikausha mito yote. Mbuga za Bashani na mlima Karmeli hunyauka, maua ya Lebanoni hudhoofika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Huikaripia bahari na kuikausha, yeye huikausha mito yote. Mbuga za Bashani na mlima Karmeli hunyauka, maua ya Lebanoni hudhoofika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Anakemea bahari na kuikausha, anafanya mito yote kukauka. Bashani na Karmeli zinanyauka na maua ya Lebanoni hukauka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Anakemea bahari na kuikausha, anafanya mito yote kukauka. Bashani na Karmeli zinanyauka na maua ya Lebanoni hukauka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Yeye huikemea bahari na kuikausha, pia huikausha mito yote; Bashani hulegea, na Karmeli; nalo ua la Lebanoni hulegea. Tazama sura |