Nahumu 1:5 - Swahili Revised Union Version5 Milima hutetema mbele zake, navyo vilima huyeyuka; nayo dunia huinuliwa mbele za uso wake, naam, dunia na wote wakaao ndani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Milima hutetemeka mbele yake, navyo vilima huyeyuka; dunia hutetemeka mbele yake, ulimwengu na vyote vilivyomo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Milima hutetemeka mbele yake, navyo vilima huyeyuka; dunia hutetemeka mbele yake, ulimwengu na vyote vilivyomo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Milima hutetemeka mbele yake, navyo vilima huyeyuka; dunia hutetemeka mbele yake, ulimwengu na vyote vilivyomo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Milima hutikisika mbele yake na vilima huyeyuka. Nchi hutetemeka mbele yake, dunia na wote wanaoishi ndani yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Milima hutikisika mbele yake na vilima huyeyuka. Nchi hutetemeka mbele yake, dunia na wote waishio ndani yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Milima hutetema mbele zake, navyo vilima huyeyuka; nayo dunia huinuliwa mbele za uso wake, naam, dunia na wote wakaao ndani yake. Tazama sura |