Nahumu 1:13 - Swahili Revised Union Version13 Na sasa nitakuvunjia nira yake, nami nitayakata mafungo yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Sasa nitaivunja nira ya Ashuru shingoni mwenu, na minyororo waliyowafungia nitaikatakata.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Sasa nitaivunja nira ya Ashuru shingoni mwenu, na minyororo waliyowafungia nitaikatakata.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Sasa nitaivunja nira ya Ashuru shingoni mwenu, na minyororo waliyowafungia nitaikatakata.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Sasa nitavunja nira zao kutoka shingo yako, nami nitazivunjilia mbali pingu zako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Sasa nitavunja nira zao kutoka shingo yako, nami nitazivunjilia mbali pingu zako.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Na sasa nitakuvunjia nira yake, nami nitayakata mafungo yako. Tazama sura |