Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 8:3 - Swahili Revised Union Version

3 maji yakadumu kuondoka katika nchi; na mwisho wa siku mia moja na hamsini maji yakapunguka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 maji yakaendelea kupungua polepole katika nchi. Baada ya siku 150, maji yakawa yamepungua sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 maji yakaendelea kupungua polepole katika nchi. Baada ya siku 150, maji yakawa yamepungua sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 maji yakaendelea kupungua polepole katika nchi. Baada ya siku 150, maji yakawa yamepungua sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Maji yakaendelea kupungua taratibu katika dunia. Mwishoni mwa siku ya mia moja na hamsini, maji yakawa yamepungua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Maji yakaendelea kupungua taratibu katika nchi. Kunako mwisho wa siku ya 150, maji yalikuwa yamepungua,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 maji yakadumu kuondoka katika nchi; na mwisho wa siku mia moja na hamsini maji yakapunguka.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 8:3
3 Marejeleo ya Msalaba  

Katika mwaka wa mia sita wa maisha ya Nuhu, mwezi wa pili, siku ya kumi na saba ya mwezi, siku ile chemchemi zote za vilindi vikuu zilibubujika kwa nguvu, madirisha ya mbinguni yakafunguka.

Maji yakapata nguvu juu ya nchi siku mia na hamsini.

Maji yakapungukapunguka hata mwezi wa kumi; mwezi huo wa kumi, siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo