Mwanzo 8:2 - Swahili Revised Union Version2 chemchemi za vilindi zikafungwa, pia na madirisha ya mbinguni, mvua kutoka mbinguni ikazuiliwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Chemchemi za maji ya vilindi na madirisha ya mbinguni yakafungwa. Mvua ikazuiwa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Chemchemi za maji ya vilindi na madirisha ya mbinguni yakafungwa. Mvua ikazuiwa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Chemchemi za maji ya vilindi na madirisha ya mbinguni yakafungwa. Mvua ikazuiwa, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Chemchemi za vilindi zikawa zimefungwa, na malango ya mafuriko ya mbinguni pia yakawa yamefungwa; nayo mvua ikawa imekoma kunyesha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Zile chemchemi zilizo chini sana ya ardhi pamoja na malango ya mafuriko ya mbinguni yakawa yamefungwa nayo mvua ikawa imekoma kunyesha kutoka angani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 chemchemi za vilindi zikafungwa, pia na madirisha ya mbinguni, mvua kutoka mbinguni ikazuiliwa; Tazama sura |