Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 5:23 - Swahili Revised Union Version

23 Siku zote za Henoko ni miaka mia tatu na sitini na mitano.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Henoki aliishi miaka 365.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Henoki aliishi miaka 365.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Henoki aliishi miaka 365.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Idrisi aliishi jumla ya miaka mia tatu sitini na tano (365).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Idrisi aliishi jumla ya miaka 365.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 Siku zote za Henoko ni miaka mia tatu na sitini na mitano.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 5:23
3 Marejeleo ya Msalaba  

Henoko akaenda pamoja na Mungu. Baada ya kumzaa Methusela aliishi miaka mia tatu, akazaa wana, wa kiume na wa kike.


Henoko akaenda pamoja na Mungu, naye akatoweka, maana Mungu alimtwaa.


naam, ajapoishi miaka elfu mara mbili, asijiburudishe kwa mema; je! Wote hawaendi mahali pamoja?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo