Mwanzo 43:25 - Swahili Revised Union Version25 Wakaiweka tayari ile zawadi hadi atakapokuja Yusufu adhuhuri, maana wamesikia ya kwamba watakula chakula huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Nao wakatayarisha zawadi zao za kumpa Yosefu, kwa sababu walisikia kuwa watakula pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Nao wakatayarisha zawadi zao za kumpa Yosefu, kwa sababu walisikia kuwa watakula pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Nao wakatayarisha zawadi zao za kumpa Yosefu, kwa sababu walisikia kuwa watakula pamoja naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Wakaandaa zawadi zao ili wampe Yusufu atakapofika adhuhuri, kwa kuwa walikuwa wamesikia kwamba watakula chakula huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Wakaandaa zawadi zao ili wampe Yusufu wakati atakapofika adhuhuri, kwa kuwa walikuwa wamesikia kwamba watakula chakula huko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Wakaiweka tayari ile zawadi hadi atakapokuja Yusufu adhuhuri, maana wamesikia ya kwamba watakula chakula huko. Tazama sura |