Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 42:26 - Swahili Revised Union Version

26 Wakawatwika punda wao nafaka yao, wakatoka huko.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Wakawatwisha punda wao mizigo yao ya nafaka, wakaondoka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Wakawatwisha punda wao mizigo yao ya nafaka, wakaondoka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Wakawatwisha punda wao mizigo yao ya nafaka, wakaondoka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 wakapakiza nafaka juu ya punda wao, wakaondoka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 wakapakiza nafaka juu ya punda zao, wakaondoka.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

26 Wakawatwika punda wao nafaka yao, wakatoka huko.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 42:26
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kama ninyi ni wa kweli, mmoja wenu na afungwe gerezani, nanyi mwende mkachukue nafaka kwa ajili ya njaa ya nyumba zenu,


mkamlete ndugu yenu mdogo kwangu; hivyo maneno yenu yatahakikishwa, wala hamtakufa. Ndivyo walivyofanya.


Yusufu akaamuru kuvijaza vyombo vyao nafaka, na kumrudishia kila mtu fedha yake katika gunia lake, na kuwapa chakula cha njiani. Na hivyo ndivyo walivyofanyiwa.


Mmoja wao alipofungua gunia lake ili ampe punda wake chakula katika nyumba ya wageni, aliiona fedha yake; kumbe! Iko kinywani mwa gunia lake.


Je! Utamtumaini kwa sababu ana nguvu nyingi? Au, utamwachia yeye kazi yako?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo