Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 42:25 - Swahili Revised Union Version

25 Yusufu akaamuru kuvijaza vyombo vyao nafaka, na kumrudishia kila mtu fedha yake katika gunia lake, na kuwapa chakula cha njiani. Na hivyo ndivyo walivyofanyiwa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Yosefu akatoa amri mifuko yao ijazwe nafaka, kila mmoja wao arudishiwe fedha yake katika gunia lake, na wapewe chakula cha njiani. Wakafanyiwa mambo hayo yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Yosefu akatoa amri mifuko yao ijazwe nafaka, kila mmoja wao arudishiwe fedha yake katika gunia lake, na wapewe chakula cha njiani. Wakafanyiwa mambo hayo yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Yosefu akatoa amri mifuko yao ijazwe nafaka, kila mmoja wao arudishiwe fedha yake katika gunia lake, na wapewe chakula cha njiani. Wakafanyiwa mambo hayo yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Yusufu akatoa amri ya kujaza magunia yao nafaka na kuweka fedha ya kila mmoja ndani ya gunia lake, kisha wapewe chakula cha njiani. Baada ya kutendewa hayo yote,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Yusufu akatoa amri ya kujaza magunia yao nafaka na kuweka fedha ya kila mmoja ndani ya gunia lake, kisha wapewe mahitaji ya njiani. Baada ya kufanyiwa hayo yote,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

25 Yusufu akaamuru kuvijaza vyombo vyao nafaka, na kumrudishia kila mtu fedha yake katika gunia lake, na kuwapa chakula cha njiani. Na hivyo ndivyo walivyofanyiwa.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 42:25
9 Marejeleo ya Msalaba  

Wakawatwika punda wao nafaka yao, wakatoka huko.

Mkatwae fedha maradufu mikononi mwenu, na fedha zile zilizorudishwa kinywani mwa magunia yenu zirudisheni mikononi mwenu; labda zilisahauliwa.

Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli. Yusufu akawapa magari kama Farao alivyoamuru, akawapa na chakula cha njiani.

Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle; Naam, njoni, nunueni divai na maziwa, Bila fedha na bila gharama.

lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,

Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.

watu wasiolipa baya kwa baya, au laumu kwa laumu; bali wenye kubariki; kwa sababu hayo ndiyo mliyoitiwa ili mrithi baraka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo