Mwanzo 41:9 - Swahili Revised Union Version9 Basi mkuu wa wanyweshaji akamwambia Farao akisema, Nayakumbuka makosa yangu leo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Ndipo, yule mtunza vinywaji mkuu akamwambia Farao, “Leo nayakumbuka makosa yangu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ndipo, yule mtunza vinywaji mkuu akamwambia Farao, “Leo nayakumbuka makosa yangu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ndipo, yule mtunza vinywaji mkuu akamwambia Farao, “Leo nayakumbuka makosa yangu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ndipo mnyweshaji mkuu alimwambia Farao, “Leo nimekumbushwa kosa langu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ndipo mnyweshaji mkuu alipomwambia Farao, “Leo nimekumbushwa kuhusu kosa langu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Basi mkuu wa wanyweshaji akamwambia Farao akisema, Nayakumbuka makosa yangu leo. Tazama sura |