Mwanzo 41:5 - Swahili Revised Union Version5 Akalala, akaota ndoto mara ya pili. Tazama, masuke saba yalimea katika bua moja, makubwa, mema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Alipolala tena, akaota mara ya pili. Aliona masuke saba makubwa na mazuri yanachipuka katika bua moja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Alipolala tena, akaota mara ya pili. Aliona masuke saba makubwa na mazuri yanachipuka katika bua moja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Alipolala tena, akaota mara ya pili. Aliona masuke saba makubwa na mazuri yanachipuka katika bua moja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Farao akaingia usingizini tena, akaota ndoto ya pili. Akaona masuke saba ya nafaka, yenye afya na mazuri, yanakua katika bua moja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Farao akaingia usingizini tena akaota ndoto ya pili: Akaona masuke saba ya nafaka, yenye afya na mazuri, yanakua katika bua moja. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Akalala, akaota ndoto mara ya pili. Tazama, masuke saba yalimea katika bua moja, makubwa, mema. Tazama sura |