Mwanzo 41:4 - Swahili Revised Union Version4 Kisha hao ng'ombe wabaya waliokonda wakawala wale ng'ombe saba wazuri, wanono. Basi Farao akaamka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Hao ng'ombe waliokonda sana wakawala wale wengine saba wazuri na wanono. Hapo Farao akaamka usingizini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Hao ng'ombe waliokonda sana wakawala wale wengine saba wazuri na wanono. Hapo Farao akaamka usingizini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Hao ng'ombe waliokonda sana wakawala wale wengine saba wazuri na wanono. Hapo Farao akaamka usingizini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wale ng’ombe wabaya na waliokonda wakawala wale saba wazuri na wanono. Kisha Farao akaamka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wale ng’ombe wabaya na waliokonda wakawala wale saba wazuri na wanono. Kisha Farao akaamka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Kisha hao ng'ombe wabaya waliokonda wakawala wale ng'ombe saba wazuri, wanono. Basi Farao akaamka. Tazama sura |