Mwanzo 41:29 - Swahili Revised Union Version29 Tazama, miaka saba ya shibe inakuja, katika nchi yote ya Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Kutakuwa na miaka saba ya shibe katika nchi nzima ya Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Kutakuwa na miaka saba ya shibe katika nchi nzima ya Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Kutakuwa na miaka saba ya shibe katika nchi nzima ya Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Miaka saba ya shibe inakuja katika nchi yote ya Misri, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Miaka saba ya neema inakuja katika nchi yote ya Misri, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Tazama, miaka saba ya shibe inakuja, katika nchi yote ya Misri. Tazama sura |