Mwanzo 41:23 - Swahili Revised Union Version23 Na tazama, masuke saba membamba, dhaifu, yamekaushwa na upepo wa mashariki, yakatokeza baada yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Halafu yakafuatwa na masuke mengine saba matupu, membamba na yaliyokaushwa na upepo mkavu wa jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Halafu yakafuatwa na masuke mengine saba matupu, membamba na yaliyokaushwa na upepo mkavu wa jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Halafu yakafuatwa na masuke mengine saba matupu, membamba na yaliyokaushwa na upepo mkavu wa jangwani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Baada ya hayo, masuke mengine saba yakachipua, yaliyonyauka, membamba na yamekaushwa na upepo wa mashariki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Baada ya hayo masuke mengine saba yakachipua, yaliyonyauka, membamba na yamekaushwa na upepo wa mashariki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Na tazama, masuke saba membamba, dhaifu, yamekaushwa na upepo wa mashariki, yakatokeza baada yao. Tazama sura |