Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 41:22 - Swahili Revised Union Version

22 Kisha nikaona katika ndoto yangu, na tazama, masuke saba yanatokeza katika bua moja, mema, yamejaa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Kisha nikaota ndoto nyingine: Niliona masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka yakichipua katika bua moja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Kisha nikaota ndoto nyingine: Niliona masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka yakichipua katika bua moja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Kisha nikaota ndoto nyingine: niliona masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka yakichipua katika bua moja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 “Pia katika ndoto zangu niliona masuke saba ya nafaka, yamejaa na mazuri, yanakua katika bua moja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 “Pia katika ndoto zangu niliona masuke saba ya nafaka, yamejaa na mazuri, yanakua katika bua moja.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 Kisha nikaona katika ndoto yangu, na tazama, masuke saba yanatokeza katika bua moja, mema, yamejaa.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 41:22
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na walipowala haikutambulikana ya kwamba wamewala, bali wakaonekana wabaya kama kwanza. Basi nikaamka.

Na tazama, masuke saba membamba, dhaifu, yamekaushwa na upepo wa mashariki, yakatokeza baada yao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo