Mwanzo 41:11 - Swahili Revised Union Version11 Tukaota ndoto usiku mmoja, mimi na yeye; kila mtu kwa tafsiri ya ndoto yake tukaota. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Usiku mmoja tuliota ndoto, kila mmoja ndoto yake tofauti. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Usiku mmoja tuliota ndoto, kila mmoja ndoto yake tofauti. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Usiku mmoja tuliota ndoto, kila mmoja ndoto yake tofauti. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Katika usiku mmoja, kila mmoja wetu aliota ndoto, na kila ndoto ilikuwa na maana yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kila mmoja wetu aliota ndoto katika usiku mmoja na kila ndoto ilikuwa na maana yake tofauti. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Tukaota ndoto usiku mmoja, mimi na yeye; kila mtu kwa tafsiri ya ndoto yake tukaota. Tazama sura |